Inshu ya kumtafuta mchawi kwenye kilimo chetu me naona ngumu sana, hatuwezi kumpata mchawi wa moja kwa moja. Japo serikali tunaweza kuitupia lawama lakin hata sisi pia wananchi bado hatupo smart kwenye kilimo, wenzetu wakenya wanatupiga bao sana.
Tukipunguza mawenge na kuacha mhemuko wa kutaka utajiri wa shortcut pasipo kuwa na masterplan inayoeleweka, kilimo kitawanufanisha wachache sana.
Ni simpo sana.. kama ni shuleni me naona yale masomo ya ufundi stadi yarudishwe na kutiliwa mkazo pamoja na elimu ya kujitegemea, yani sio tu kilimo pekee bali hata katika nyanja nyingine.Uko sahihi mkuu,sisi kama wananchi hatuna muamko, inabidi tubadilishe mindset zetu kwanza...kilimo kinaonekana ni cha wachache waliofeli maisha , i guess Kilimo kiwe introduced slowly kwenye curriculum za wanafunzi..by the time wanamaliza shule wanakua na msimamo postive kuhusu kilimo.....
Question is; huko shuleni tutawafundisha nini kuhusu kilimo?? mkuu embu tiririrka..lol
Ni simpo sana.. kama ni shuleni me naona yale masomo ya ufundi stadi yarudishwe na kutiliwa mkazo pamoja na elimu ya kujitegemea, yani sio tu kilimo pekee bali hata katika nyanja nyingine. Watoto waelezwe ukweli ajira zao zipo mikononi mwao, so katika kila wanalofanya lazma wawe smart, ujuzi, pamoja na elimu ya kutosha ili kupata matokeo chanya. Hapo angalau sasa lawama ibaki kwa serikali peke yake
Tanzania vision 2025 imeeleza kilimo, cha makaratasi lakiniAsante mkuu kwa ushauri mzuri, ila ningependa specific tubaki kwenye Kilimo, specific nini kifanyike..kama ni shule, kwenye kilimo tufundishe nini?....thanks.
Becky licha ya Kikwete kuwa dhaifu Ila alijitahidi sana kwenye Ile Sera ya kilimo kwanza tatizo sisi wamatumbi. Jamaa alichoka akaamua kupotezea.Hello JF,
Hii ni moja ya kati za threads zangu za mwisho mwisho..LOL
I am trying to cut my time spending browsing JamiiForums...
So far, i am doing great, sijapost chochote in four days..LOL.....
Anyway,
Ningependa kujua nini kinachokosekana kwenye Kilimo chetu???
Ili kiwe chenye tija kwa manufaa ya watanzania....????
Tuna depend kwenye Kilimo, yet nahisi hili ni eneo moja ambalo halijawa exploited fully...
Again, tu brainstorm wapi pana tatizo..
Thanks all..
Kilimo Tanzania, sekta iliyoajiri raia wengi sana na ina changamoto za kutosha.
1. Pembejeo bora na stahiki
2. Elimu bora ya kilimo bora
3. Uwekezaji kwenye mindset za raia kuhusu kilimo na kilimo biashara
4. Masoko stahiki ya bidhaa za kilimo
5. Uongezaji wa thamani wa bidhaa za kilimo katika kuleta mnyororo wa thamani wenye tija.
6. Siasa na utashi wa wanasiasa katika kuendeleza kilimo
7. Upatikanaji wa mbegu bora za mazao na mifugo
8 . Uwepo wa viwanda vya uchakataji mazao ya kilimo
9. Sera zenye akili timamu
10. Matumizi sahihi ya ardhi kwa kilimo
11. Mahusiano na wadau wa sekta
12.
Ngoja nisinzie kwanza nitaelezea baada ya nane nane
Karibu kwenye siku kuu yetu sie wakulima na wafugaji
Becky licha ya Kikwete kuwa dhaifu Ila alijitahidi sana kwenye Ile Sera ya kilimo kwanza tatizo sisi wamatumbi. Jamaa alichoka akaamua kupotezea.
Yani sisi hatuwezi hata tukiwezeshwa.
Masoko utauza nini kama huzalishi?Mnazunguka mbuyu tu lakini ishu ni masoko tu. Tafuteni masoko ya uhakika watu tunalima sana changamoto inakuwa kwenye masoko. Kukosekana kwa uhakika wa masoko kunafanya tunauza mazao kwa pesa kidogo kiasi cha kufanya faida kidogo sana au wakati mwingine kukosa faida kabisa. Wakati mwingine ninauwezo wa kulima hata ekari hamsini lakini kila ukiliwazia soko unajikuta unalima ekari tano au kumi
Watanzania wanapenda kitu kinacholipa.Uko sahihi mkuu,sisi kama wananchi hatuna muamko, inabidi tubadilishe mindset zetu kwanza...kilimo kinaonekana ni cha wachache waliofeli maisha , i guess Kilimo kiwe introduced slowly kwenye curriculum za wanafunzi..by the time wanamaliza shule wanakua na msimamo postive kuhusu kilimo.....
Question is; huko shuleni tutawafundisha nini kuhusu kilimo?? mkuu embu tiririrka..lol
Watanzania wanapenda kitu kinacholipa.
Weka mazingira mazuri ya kilmo halafu uone kama watu hawatalima mpaka ukakimbia.
Mfano halisi ni ni mbaazi,korosho na mihogo.
Baada ya kuchanganya watu walililma sana.
Ila sasa tatizo kubwa ni kwamba CCM haipendi watu watoke kwenye umasikini.
CCM inapenda kumwona kila mtaznia ni fukara wa kutupa ndio maana inapambana kuhakikisha hilolinatokea. Ni kama mashetani vile.
Kuna mazao ambayo tayari yalikuwa yashaonesha mwelekeo wa kumkomboa mkulima ila CCM wametumia nguvu kubwa kuyaua mpaka wakulima wamekata tamaa na hawana matumaini tena.
1. Kahawa ( Wachagga wao wameacha kabisa kulima, Kagera wao wanaolima wanapangiwa bei. Wakitorosha kupeleka Uganda kwenye beui nzuri wanakamatwa ). Kahawa ni hot cake ila wakulima ni hohe hae wa kutupa.
2. Koroshao. ( Hili zao lilikuwa limeanza kuleata matumaini ya kumtoa mkulima kwenye umasikini ila CCM wamepeleka jeshi limepora wakulima korosho zao na hwana matumaini mpaka sasa zaidi yamistori ya siasa tu )
3. Mbaazi ( Hili ni multbillion zao, na wakulima walikuwa wanapata pesa kibao. Kaja Kibwengo ana bifff zake a Kina Manji ambao walikuwa wanunuzi zao limekufa. Yaani utafikiri hili zao halijawahikuwepo hapa nchini )
4. Tumbaku ( Yale yale )
5. Pamba ni yale yale.
Haya kwenye mazo ya chakula na kwenyewe ukilima sehemu ya kuuza utategemea Janasiasa limeamkaje siku hiyo.
Kilimo Tanzania hakina sehemu ya kupumzika.
Very risk kuanzia unapanda, mvua mavuno mpaka soko.
Unreliable Market, Jana nilisikia katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV, kuwa wakulima wa kahawa Arusha na Masama juu huko wanalalamika sana kukosekana kwa soko la kahawaHello JF,
Hii ni moja ya kati za threads zangu za mwisho mwisho..LOL
I am trying to cut my time spending browsing JamiiForums...
So far, i am doing great, sijapost chochote in four days..LOL.....
Anyway,
Ningependa kujua nini kinachokosekana kwenye Kilimo chetu???
Ili kiwe chenye tija kwa manufaa ya watanzania....????
Tuna depend kwenye Kilimo, yet nahisi hili ni eneo moja ambalo halijawa exploited fully...
Again, tu brainstorm wapi pana tatizo..
Thanks all..
Nafikiri hujawahi kulima ndio maana unasema hvyo. Mazao mengi sana hayana soko la uhakika japo hayazalishwi kwa wingi sana, Sasa yakizalishwa kwa wingi tena itakuwaje? Na ukumbuke hayazalishwi kwa wing sana coz pia wengi wenye mitaji wanakikwepa kilimo. Miaka mingi kilimo kinajiendesha chenyewe tu, kusiwepo na ruzuku watu wanalima ila mwisho masoko yanakuwa ishu. Angalia matunda na mbogamboga, mahindi, mpunga, mbaazi n.kMasoko utauza nini kama huzalishi?