Kipi huzungusha matairi ya ndege?

Aisee ulishawahi kuona wapi ndege inarudi rivas?
Ndege kuludi rivas ina tegemea feni zake zinavyo Fanya kazi hivyo inaweza kuludi nyuma kama imeundwa hivyo hasa za mapanga boi
 
Ndege kuludi rivas ina tegemea feni zake zinavyo Fanya kazi hivyo inaweza kuludi nyuma kama imeundwa hivyo hasa za mapanga boi
Umetaja panga boy......????!!!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ndio maana huruhusiwi kung'aza sharubu mbele na nyuma ya engine, maana hata mbele ukikatiza inaweza kukuvuta, na ukipita nyuma tutaenda kukuokota dampo.
Unanikumbusha movie ya Fast and Furious [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndege haina rivas?? Mmhh???
 
Nafikiri hiyo ndege yako itakua maalum.

Naomba kesho twende eapoti tukamalize utata.
Ntashughulikia ruhusa za kuingia ndani na vinywaji tukiwa hapo.
Mbona rivasi ni jambo la kawaida sana kwa ndege? Hebu ingia Youtube uone ndege zinavyorudi rivasi. Nipo chuga, njoo twende airport!
 
Mbona rivasi ni jambo la kawaida sana kwa ndege? Hebu ingia Youtube uone ndege zinavyorudi rivasi. Nipo chuga, njoo twende airport!

poa...tutaanza na bombadia, ikirudi nyuma yenyewe naokoka kama Zakayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…