Nelly Mtengwa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 371
- 417
Rivasi ipo!! Ndo maana nimeamua kuomba msaada!!rolls royce engine - YouTube
My kaka ingia kwenye link hapo utajua jinsi injini zinavyoifanya ndege kujongea mbele hadi kupaa
Injini huvuta upepo kutoka mbele na kuurudisha nyumba kwa kutumia feni zake
Ndio maana hamna ndege yenye rivas
Hiyo ni video ya watengenezaji wa engine za boeing na airbus kutoka England
Nadhani utajifunza mengi my kaka.
Ameuliza kuhusu rivasi pia![emoji1]......mpe jibu please!Thrust
Aisee ulishawahi kuona wapi ndege inarudi rivas?Rivasi ipo!! Ndo maana nimeamua kuomba msaada!!
Matairi ya ndege hayana Mechanism ya kujizungusha, yapo kama ya toroli tu, yanaisaidia ndege inapotua na inapotaka kupaa kwa sababau inatembea kwa kasi sanaNimeshawahi kusoma maelezo mengi kuhusu kinachofanya ndege kuelea angani. Lakini nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo:
-Kipi hufanya ndege kutembea chini wakati hakuna 'shaft' inayozungusha matairi?
-Kama ni force ile ile inayotumika angani ndio hutumika kuifanya ndege itembee ardhini, rivasi inatoka wapi?
Thanks.View attachment 434608
Niliangalia kipindi flan kinaitwa MYTHBUSTERS kinaoneshwa discovery science jamaa walipima force ya upepo inayotoka kwany engine ya jet, huwezi amini ule upepo una peperusha gari na watu ndani yake
Ndio maana huruhusiwi kung'aza sharubu mbele na nyuma ya engine, maana hata mbele ukikatiza inaweza kukuvuta, na ukipita nyuma tutaenda kukuokota dampo.Niliangalia kipindi flan kinaitwa MYTHBUSTERS kinaoneshwa discovery science jamaa walipima force ya upepo inayotoka kwany engine ya jet, huwezi amini ule upepo una peperusha gari na watu ndani yake
Rivasi ipo!!Aisee ulishawahi kuona wapi ndege inarudi rivas?
GTA SanandreasAisee ulishawahi kuona wapi ndege inarudi rivas?
Sasa kama rivasi ipo mbona ndege haina side mirror? Au kuna utingo wa kuielekeza kwa nyuma?Rivasi ipo!!
Rivasi ipo!!
Rivasi ipo ndugu!!ndege hazina reverse gear.....kama ukifuatilia kwa makini, utagundua mara nyingi zinaporudi nyuma tayali kwenda njia ya kupaa, kuna vijigari viko flat huwa vinafungwa kwy taili la mbele la ndege...hivyo ndio uzisukuma nyuma na zikikaa sawa hivyo vigari vinafunguliwa then ndege inasepa kwa kwenda mbele.
Rivasi ipo ndugu!!