Kipi hujatumia hapo?

Hahah hiyo pasi ya kijinga sana! Niliweka mkaa mwingi(actualy sio mkaa ni kuni zike za jikoni zilizo waka na kuwa mkaa) sasa ikawa na moto sana nikachoma suruali yangu ya starrway(sijui ndio ilikuwa imeandikwa hivyo au nimekosea spelling) basi afta kuiweka kiraka cha pasi nilikula x-mass yangu kwa uchungu kweli coz sikuvaa suruali mpyaa! Nililia karibu siku 3!!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hiyo pasi cheche zake zimeniunguzia nguo zangu nyingi tu...
 
View attachment 186224


Nazungumza na kizazi cha Analogia...kipi hujatumia ktk hii picha?? karibuni waungwana...

GT MUSSOLIN
umenikumbusha mbali sana, mzee alikuwa na santuri na hiyo radio aina ya national, nakumbuka kwa utundu wangu nikajifanya nataka niangalie ndani kuna nini? si niakifungua wacha niiharibu ilibidi niwe mkimbizi ndani ya nchi yangu, nilihama nyumbani kabisa nikahamia kwa bibi mzaa mama kwa muda wa miezi kadhaa mpaka pale msuluhishi maza aliponihakikishia usalama wangu..sitasahau lile panga lake
 

aisee pole sana mkuu
 

pole sana mkuu...watoto wa leo hawawezi jua changamoto ya pasi hii
 
aisee pole sana mkuu
Mussolin kwani nilikuwa nakoma basi, we acha tu nadhani ndio kipaji iliyokuwa ndani yangu niliishia kusomea mambo ya electronics engineering and i love it sana chuoni walikuwa wananiogopa kama ebola kwani nilikuwa nategeshea automatic shitch nazifushotisha na Capacitor basi inalipuka kama bomu darasa lote ni taharuki mie nafurahi kupita maelezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…