saed61
Member
- Jul 21, 2017
- 23
- 7
Dah! Hatar
Dah! Hatar
Yeah no kweli mkuu, si wengine tulikua shule kpnd hicho so now tuko ktk hatihati iyoMkuu ulikuwa wapi mda wote huu... Watu wameomba zaman now wanasubir tu selection....
Nmekusom mkuuKuna mvumi,kalatondo,bumbuli
Yaa tuwekane sawa na qualificaçãtion zaoHey habari zenu guyz
Clinical medicine applicants tufahamiane jamani & tujuzane vyuo bora vya kozi hiyo.
habari ndugu...hivi mtu wa CBG mwenye ufaulu wa DEE anaweza kusoma?!hii courseHey habari zenu guyz
Clinical medicine applicants tufahamiane jamani & tujuzane vyuo bora vya kozi hiyo.
Physics muhimu hapo mtu wangu, ila mostly wanaangalia sana chet cha o-level umepgaje phys isikose hapo. .habari ndugu...hivi mtu wa CBG mwenye ufaulu wa DEE anaweza kusoma?!hii course
Hii course wanadeal na matokeo ya form four tu....habari ndugu...hivi mtu wa CBG mwenye ufaulu wa DEE anaweza kusoma?!hii course
Hii course wanadeal na matokeo ya form four tu....
YapHii course wanadeal na matokeo ya form four tu....
F ya Math hyo mkuu.. naiona inakucheka kisirisiri...
Ufaulu huu napata CO Bumbuli? BIOLOGY B. CHEM. C. PHYS. C. ENGL. C. MATH. F (2 ya 20)mwaka 2016
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo nimatokeo tu mzeeAm curious..Unapataje C ya Physics halafu Maths F..Tena O Level?