Kipi chuo kikuu bora Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tommyy, Mar 9, 2013.

 1. t

  tommyy Senior Member

  #1
  Mar 9, 2013
  Joined: Mar 7, 2013
  Messages: 170
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
   
 2. C

  Concious Senior Member

  #2
  Mar 9, 2013
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumaini Makumira Dar-Es-Salaam Colage
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2013
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ni kipanga nenda pale mlimani, lakini pale wanataka vichwa!!!!Kama ulipata marks za kuhesabia mfukoni, usijaribu hata kufanya application!!!

  Tiba
   
 4. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2013
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,613
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tommyy, vyuo Tanzania hii ni vingi, Je unaongelea uboea wa chuo katika nyanja ipi? Michezo, Majengo, Mazingira au?
  Kama ni elimu unaongelea chuo katika kozi (z)ipi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,888
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Public Service
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2013
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je una pointi ngapi??
   
 7. regan morgan

  regan morgan Senior Member

  #7
  Mar 9, 2013
  Joined: Feb 6, 2013
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ata ukichagua haitakusaidia we subiri upangiwe na TCU
   
 8. Nyamuleha jr

  Nyamuleha jr Senior Member

  #8
  Mar 9, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 170
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Cku hizi watu hawaangalii vyuo vizuri wanaangalia kozi nzuri, unataka kusomea nini? Ila chuo kikuu udsm kizuri ila kigumu sanaa
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2013
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,325
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Ugumu wake ni nini?
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2013
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,841
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Swali zuri sana. Hivi ubora wa chuo unapimwaje? Ubora wa elimu? ufanisi wa utendaji wa graduates? Majengo? Maprofesa wazuri?
  Chuo kinachotoa effective graduates hicho ndo chuo bora kwangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2013
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mzumbe na SUA wazuri pia! Wana waalimu wazuri/wazoefu... hakuna mogogoro mwanafunzi anamaliza kwa muda uliopangwa!

  Pia idadi ya wanafunzi sii kubwa kama UDSM hivyo ni rahisi mwalimu kufuatilia maendeleo ya mwanfunzi!
   
 12. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2013
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,712
  Likes Received: 1,346
  Trophy Points: 280
  Sema una points ngapi kwa combination gani usaidiwe dogo!
   
 13. K

  Kulya JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2013
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Subiri matokeo dogo... Umeona wenzio wa form four walivyonyolewa?! Sasa na wewe tulia tuli usubiri matokeo, ukifaulu vizuri njoo na hoja yako.
   
 14. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2013
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  amazon college! au magomeni secretarial college!
   
 15. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2013
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Haswaaaaa. TZ Nzima hakuna Kama UDSM mpaka sasa
   
 16. Dreson3

  Dreson3 JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2013
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,024
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 180
  subiri matokeo usijekua umezungusha university kinapatikana mtaa wa Necta
   
 17. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2013
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  IMTU ndio mkuu
   
 18. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2013
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je matokeo yako na wewe ni mazuri? Subiri Ndalichako atangaze kwanza. Ila mwaka huu mtafaulu ili ile soo ya form IV isirudi kabla Tz hatujasahau
   
 19. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,813
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .............hakuna kama UDSM kwenye masuala yapi na unakifananisha UDSM na chuo gani ktk fani gani? elezea kidogo ili watu wajue hiyo taarifa yako ilizingatia vitu gani, usiwe unaongea tu kama mtoto wa form 4 aliyemaliza mwaka jana.
   
 20. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2013
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,384
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
   
Loading...