Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

kwani matokeo tyr? Au unahakika umeshajua matokeo? Ulikuwa na pepa ni ww? Vyuo vyote vizuri inategemea kozi na kichwa chako.
 
Nenda tourism and tour guiding ghorofa ya 3 mtaa wa aggrey na sikukuu
 
Zoom Polytechnic College pale Magomeni.

Eagle Wing College pale opposite na Kamata.

Amazon College.

Modern Commercial Institute.

Vipo vingi vya levo yako maana bila shaka hujiamini na matokeo. Kama una uhakika na principal passes zenye akili usikonde utajifanyia selection ya mavyuo kibao chini ya TCU kisha wao watakupeleka kwenye kimojawapo.
 
udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo

Kwa Tanzania Chuo kikuu bora ni Uböngo wako. Ukilewa jina la chuo ulicho soma utakuja frustrate utakapo anza kusaka ajira utakapo shangaa kuona wahitimu wa vyuo unavo dhani sio bora wakionyesha umahili wa hali ya juu kukidhi mahitaji ya mwajiri.
 
Kwa nyie ambao mawazo yenu ni mgando kwamba lazima muajiriwe mahali ndio maisha yaendelee sawa, wengine elimu tuliyopata kazi yake ni kutuwezesha kukabiliana na maisha hata nje ya ajira tegemezi ya kusubiri interview. Ujuzi tuliopata unatutosha kubuni njia mbadala za kujiinua kiuchumi ambazo ni halali tena kwa kutumia mitaji midogo tu tena wa laki 400000/= tu na kuukuza kwa akili za kuzaliwa na ujuzi tuliopata shuleni.

Endelea kusubiri ajira ya kusoma magazeti, uwe shortlisted, uwe frustrated kuona bila kumjua mtu huna ajira wakati wenzako wenye akili za kujitegemea tunasonga mbele.

Goodbye another day
 
-Economics,bcom,Llb,engineering,natural science na political science-UDSM.
-Accounting,finance au banking-mzumbe,IAA,IFM.
-agriculture,forest,animal science na veterinary medicine-SUA.
-MD,pharmacy na nursing-Muhimbili na hubert kairuki.
-mass communication,journalism-saut.
-public administration-mzumbe.
Kazi kwako mleta mada.
 
Kwa Tanzania Chuo kikuu bora ni Uböngo wako. Ukilewa jina la chuo ulicho soma utakuja frustrate utakapo anza kusaka ajira utakapo shangaa kuona wahitimu wa vyuo unavo dhani sio bora wakionyesha umahili wa hali ya juu kukidhi mahitaji ya mwajiri.

Nakupa like, you are a critical thinker. tatizo vijana wengi hapa ni madent ambao hawajui soko la ajira linataka nini kati ya jina la chuo na umahiri wa mtu binafsi.
Ninapo sema soko la ajira namaanisha kuajiriwa na kujiajiri.Na huyo dogo asubiri maamuzi za TCU na ajiandae kiakili kwenda chuo chochote atakacho pangiwa.

Napata taabu sana kuona kwamba vijana wanaosifia vyuo vyao h
 
Kama unataka bata usiachague udsm utaumia kama .ulibahatisha

Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom