Kipi bora kwake?

Mapenzi ya kulazimishana yana madhara sana. Inanekana walivyoaanza jamaa alikuwa mgumu kuelekea mdogo akaamua amzalie kwa imani kwamba jamaa atajiweka, kumbe sivyo. Ila kupenda sana napo kubaya sana.
 
abadili line kwani namba ya huyo jamaa hajaishika kichwani.......?.......la muhimu aamue kuanzia sasa hamtaki huyo jamaa.......aendelee na maisha yake basi......

kama ataweza kama awezi abadili line
 
Apo apate bingwa mwengine ambae atakuwa n sifa zaidi ya uyo jamaa alozaa nae,apo atamsahau maana mwanamke kaumbiwa kupenda n kusahau
 
Naomba uniruhusu kwa heshima na taadhima nimtukane mdogo wako.....

Na ole wao.mods wanipige ban
 
Amwache tu kwani huyo bwana hampendi,maana kama angekuwa anautambua umuhimu wake angekuwa anamjali ok? mwambie aswali sana mungu hatupi tunavyovitaka bali tunavyovistahili,wanaume wengi atampata wakumjali.
 
Daaah huyo jamaa ni tumbili, akijitokeza hadharani apigwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…