happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Wanawake kweli mna moyo. Heshima kwenu. Pamoja na yote hayo bado moyo umemzidi kichwa?
Hata abadilishe laini ya simu haitamsaidia huyu maana bado hajajitambua (no offence meant). Msaidie kujitambua kwanza atoke kwenye huo usingizi aliolala. Kama mtu anaweza mtelekeza (mchukia) mtoto wake wa kumzaa ndio amepende mama yake mtoto (angempenda Mtoto angemjali, na mama yake angemjali pia)
Hamna Kitu hapo.... Hivi jamani mtu keshasema wewe kukutana nawe ilikua bahati mbaya tu hana mpango nawe... haikuumi tu?, umemzalia mwana amewatelekeza.. umelala tu huamki... Anakuchezea hisia zako kila wakati na vimeseji vyake.. bado unakoroma tu...?? Huo usingizi sio wa kawaida.
Take action as a man (kaka) !!

mapenzi bwana cjui yaliwekewa nn!"? binafsi nimeshaongea mpaka na mifano jamaa akichombeza tu naambiwa labda kajirudi dah!!
Kwa mila zetu Mkuu, kaka ndiyo baba ni lazima umsimamie dadako, Mpeleke huyo jamaa (shemu) kwa ustawii wa jamii !! anapaswa atoe huduma kwa mwanae !!hapa sijaelewa
Ni mdogo wangu, kazaa na jamaa na huyo jamaa hakumuoa kisa anadai hawakupanga kumuoa mdogo wangu kaonaisiwe tabu kwakua anakazi yake anamlea tu mtoto wake vizuri.
Ukweli mdogo wangu anampenda sana jamaa anashindwa kumsahau kabisa jamaa anashindwa kumuelewa sababu huwa anamtext kila siku asubuhi mara imiss u, mara unakuja lini? maana wanaishi Mikoa tofauti anaweza amwambie njoo mara akapotea tena hewani asimtafute hata wiki.
Mdogo wangu anakuta kajizoelea anaibuka tena ilove u mdogo wangu anamjibu jamaa kimya tena hata siku 4 au wiki na hata text zake mara nyingi aulizii hata habari za mtoto yeye ni i love u, i mis u,mara unakuja lini na akishajibiwa anapotea hata wiki kumbuka hapigi ni massege tu.
Mdogo anashindwa kumuelewa kumbuka anampenda sana na anatamani warudiane hali kama hii ya jamaa inamtesa anashindwa hata kumove on kaniomba ushauri anataka abadilishe kabisa lain ili wasiwasiliane ili iwe rahisi kwake kumove on maana hata kulea mtoto hamsaidii au wabaki tu kuchombezana japo inamuumiza sana moyoni.
ha ha ha ha ha nacheka si mazuri lakini eti i love u wiki anapote,,.... hapo mdogo wako kama anaweza abadili line aendelee na maisha yake jamaa namfanya kama kiraka tu....
ha ha ha ha ha nacheka si mazuri lakini eti i love u wiki anapote,,.... hapo mdogo wako kama anaweza abadili line aendelee na maisha yake jamaa namfanya kama kiraka tu....