kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,221
- 1,679
Salaam!
Wakuu kuna jambo hili nahitaji maoni na mawazo yenu.
Ukiwa na mkeo au mumeo ambae mmeishi pamoja na kugundua hamuwezi kupata mtoto kwa sababu mmojawenu (mume au mke) hana uwezo wa kuzaa..... Je, suluhisho bora zaidi kwa issue kama hiyo ni ipi kati ya hizi? ;
1. Kuzaa nje
Hapa mwenye uwezo wa kuzaa aende nje akazae mtoto (mke au mume)
2. Muasili (adopt) mtoto/watoto
Hapa muamue kuasili mtoto/watoto na awe wenu
Ipi ni njia bora zaidi na kwanini?
Karibuni.