Kipi bora kupanda Miti ekari 50 au kuwekeza kwenye hisa?

Kama ningechangia kama mwakijiji ningesema miti.
Ila kama mtu mwenye ufahamu wa biashara,fanya vyote ili upunguze risk.Kwenye hisa chagua zile kampuni zinazofanya vizuri.Kama una uwezo na kuwatafuta madalali wa soko la hisa wanaweza kukupa ushauri mzuri ni hisa za kampuni gani ni nzuri zaidi.
 
Ushauri juu ya kupanda miti inategemea na aina ya miti maana ipo hadi miti ya kimvuli tu. Pia kununua hisa inategemeana na trend ya ukuaji wa kampuni . So, mleta uzi njoo uweke bayana aina ya miti na kampuni unayoitarget.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom