Kipi Bora Kati ya vitu hivi?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
1. Kuwa mpole nanyenyekevu katika ndoa.

Uwe mnyenyekevu, huna michepuko, huna hawara, ukirudi nyumbani unampa simu mkeo aikague .

Wasap zote mnatumia kwenye simu moja....

Then unajisifu kwa wanaume wenzio kuwa huna mchepuko Wala mwanamke wa nje. Hii ni kwa ajili ya kumuogopa MKE/MPENZ WAKO uliyenaye ili kutunza ndoa

2. Uwe na michepuko lukuki.
Hii uwe unaamini ni kwasababu ya usalama wako pale utakaposalitiwa.. Lakini mkeo awe hajui kitu.

3. Uwe na michepuko wazi wazi na MKE wako awe anajua kuwa wewe ni kiwembe

LIPI BORA KATI YA HAYO.

NAHITAJI USHAURI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa ktk mapenzi hakuna kosa kubwa kama USALITI,,,,kama utaruhusu MKEO AJUWE wewe una WANAWAKE LUKUKI,,,basi ELEWA UNAKARIBISHA USALITI NYUMBANI,,,,kwani MKEO hatokuwa na sababu ya kuwakataa VIDUME WA NJE,,,sababu wewe HUMTHAMINI,,,siku zote DHAMBI YA USALITI inalipwa kwa USALITI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom