Kipi bora kati ya Series or parallel connection.... Kwenye solar panel

Aah aah yani janja hajui life fucks both ways.

Ye anakuja kupiga watu vizinga vya ujanja ujanja.
Si ndo hapo!! Alishawahi hata kufanya biashara unakaa siku nzima huuzi unatoa macho tu! Na ukija jf kujitoa stress unaitwa jobless 😆
 
Nimenyosha kidole kwa mda mwenyekiti haunipi nafasi ya kuchangia, shida ni mimi,mada,wajumbe au ni wewe?
Karibu... wajumbe walikuwa wanajadili nje ya mada, unaweza kuendelea.....
 
Karibu... wajumbe walikuwa wanajadili nje ya mada, unaweza kuendelea.....
Mtoa mada hajaacha faida kwa wajumbe tuliosinzia kidogo maana wengi wetu hatuelewi parallel na series connection concept yake ni ipi. Yaani unafanyafanyaje ili na sisi wajumbe tujiandae na hiyo El nino kwa Solar na battery yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…