Demokrasia inapunguza kasi ya maendeleo...
Demokrasia baadae.....
Achakuriri mkuu vyote viwili muhimu na huenda pamoja ili kujenga ustawi was jamii Fulani, acha kupotoshaNchi nyingi uonekana kukosa balance ya maendeleo na demokrasia kwenda pamoja na badala yake kimoja uzidi kingine yaan maendeleo yawe juu na demokrasia kuwa chini au demokrasia kuwa juu na maendeleo kuwa chini......nini wazo lako kuhusu hili?
Mkuu hivi maendeleo ni nini?Nchi nyingi uonekana kukosa balance ya maendeleo na demokrasia kwenda pamoja na badala yake kimoja uzidi kingine yaan maendeleo yawe juu na demokrasia kuwa chini au demokrasia kuwa juu na maendeleo kuwa chini......nini wazo lako kuhusu hili?
Ngoja nikueleweshe kijana..democracy ni sehemu ya maendeleo..ni sawasawa ungeuliza kipi muhimu kati ya kuboresha infrastructure na maendeleoNchi nyingi uonekana kukosa balance ya maendeleo na demokrasia kwenda pamoja na badala yake kimoja uzidi kingine yaan maendeleo yawe juu na demokrasia kuwa chini au demokrasia kuwa juu na maendeleo kuwa chini......nini wazo lako kuhusu hili?
Soma uelewe....sijasema kitu gani cha muhimu kati ya hvyo...bali uwa hzo hali utokea ndo meuliza kipi bora kati ya hzo hali(state)?
Na wewe mnafiki tu mkuu. Umeombwa ututafunie?Wadau mmemuelewa mleta mada. kuna ishu behind anaificha , naona anasapoti mambo anayofanya bwana mkubwa kwa kisingizio cha naendeleo
Toa mifano ya nchi ambazo demokrasia ipo chini lakini uchumi upo juu na kinyume chake ili tujadili.Soma uelewe....sijasema kitu gani cha muhimu kati ya hvyo...bali uwa hzo hali utokea ndo meuliza kipi bora kati ya hzo hali(state)?
Alichoandika jamaa kinawakilisha akili za wa Tanzania walio wengi.mmmh kweli baadhi ya watazania wana zero IQ ,sasa mkuu ndio umeandia nini,kwanza unatakiwa ujue nini maana ya demkrasia,demokrasia sio kwenye siasa tu,hata mwanao kuamua nini anataka kula nyumbani ni demokrasia,Maamuzi ya mkeo nini anataka avae wakati anatoka ni moja katika demkrasia...
Bila ya kuwa na uwazi wa kufanya mambo,bila ya kuwa na fikra na mawazo tafauti katika kuiendeleza nchi,nchi haiwezi kuendelea....
Demkrasia ni mfumo wa maisha unaotumiwa na nchi ili nchi iendelee na ipate maendeleo kutoka kwa wananchi wake,kila mwananchi ana haki ya kuchangia katika kuleta maendeleo ya nchi...
Uhuru wa kujiamulia,uhuru wa kupata habari,uhuru wa kuchangia,utawala unaoheshimu sheria...na mengi mengineo...hiyo ndio demokrasia...mkuu
Nchi nyingi uonekana kukosa balance ya maendeleo na demokrasia kwenda pamoja na badala yake kimoja uzidi kingine yaan maendeleo yawe juu na demokrasia kuwa chini au demokrasia kuwa juu na maendeleo kuwa chini......nini wazo lako kuhusu hili?
China ni mfano
Mkuu demokrasia (uhuru wa mwanadamu) ndio maendeleo ya kwanza kabisa kuliko maendeleo ya vituNchi nyingi uonekana kukosa balance ya maendeleo na demokrasia kwenda pamoja na badala yake kimoja uzidi kingine yaan maendeleo yawe juu na demokrasia kuwa chini au demokrasia kuwa juu na maendeleo kuwa chini......nini wazo lako kuhusu hili?