Neno lipi hilo?Nimecheka sana mkuu ila ungepunguza ukali wa ilo neno (...)
Ofcoz kuzima simu ni pouwa sana
mbunyeKulitamka me siwezi ila hapo ulipo sema uko juu ....
Haikosei kitu ila nikuondoa tu zilw hakish hakish za simu mara iite mara sms mara iite mwishowe umtoa mtu kwa moodInategemea na aina ya mahusiano na umri wa wanaohusiana.
Simu imewakosea nini wapenzi hadi waanze kuiwazia kuizima au kutokuizima?
Jina lipi hilo au unamaanisha username yangu?Mkuu weww ni kibira gan maan ilo jina nalisikiaga uko ukuryan
Wakimaanisha hichohicho nilichomaanisha au lina maana nyingine?Dah oky ilo neno mbunye
Acha kabisa hiyo kitu imetengezwa ikatengenezeka sio mchezoIcho icho
Yaaan hapo wallah sichomoi, kwenye fwezaaaah wee acha tyuuuhWa
penda fweza sasa
Linaruhusu uwepo wa roho mtakatifu tu
Mtu mzima hawezi ingia kwa uzi wa kitoto mkuu...kuna watu wazima uko nao wana uzi wao ila kama umeweza kungua na kusoma kilichomo basi wewe ni mtoto mwenzetuNiseme tena "utoto raha sana" au niache tu mshaelewa?