Mohamed Bin Salman MBS toka udogoni kila wakati alikuwa karibu na baba yake. Mzee Salman alimpenda sana kuliko watoto wake wengine wote.
Ni mtoto wa mke wa pili wa mzee Salman. Ila inasemekana siyo kipenzi cha mama yake. Mama yake aliwakasirika Sana yeye na mfalme baba take walipomdhulumu mjomba wake kuwa mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia. MBS akaamua kumficha mama yake pasipojulikana