Kipenzi cha Baba

Kipenzi cha Baba

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,301
Reaction score
47,303
871121-1996094078.jpg
Dp_uH9PUUAElGiq.jpg
B3-DR693_PRINCE_FR_20190411150654-725x419.jpg
02837641-9d78-4904-bb50-44ef0ef37e69_16x9_1200x676.jpg
DqC-FjZXcAAQ3BH.jpg
 
Mohamed Bin Salman MBS toka udogoni kila wakati alikuwa karibu na baba yake. Mzee Salman alimpenda sana kuliko watoto wake wengine wote.

Ni mtoto wa mke wa pili wa mzee Salman. Ila inasemekana siyo kipenzi cha mama yake. Mama yake aliwakasirika Sana yeye na mfalme baba take walipomdhulumu mjomba wake kuwa mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia. MBS akaamua kumficha mama yake pasipojulikana
 
Huyo mjomba yuko kizuizi ni. Na huyo MBS hakuwa Crown Prince mwanzoni
 
Historia ya Familia ya Kina Salman na baba Yao founder wa Saudis King Abdulaziz inavutia mnoo
 
Back
Top Bottom