Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Kwanza hapa Afrika ndio tusidanganyane na hizo whatsapp groups, mnaanzisha mradi wa opensource, kisha unajikuta commits zote unafanya wewe, halafu watu wame subscribe wengi lakini hakuna anayejitutumua kusaidia, kisha siku mfumo ukionekana umesimama, jamaa wana download balaa na kuanza installations kwa wateja kimya kimya wanapiga hela, hauhusishwi.
Akiyamama hii nimeishuhudia live sitakaa niisahau.
 
Error nyingi!?.

Mkuu if you can't eliminate those errors you have to make your own project.

Yaani umehangaika kufanya setup ya project let say react project ambayo umeingia mtandaoni na ukiwa na madhumuni nayo baada ya hapo ukutane na errors useme haifai utakuwa umepoteza muda yaani kama kuna project zipo codecanyon zinauzwa na zina error sembuse za free.

Kifupi tuache uzembe, hakuna mtu wa aina hiyo atakaye share complete project kisha kuundwa group wasapu, hivi akiipeleka mahali panapoeleweka atakosa support ya maana mbali na hiyo ya WhatsApp.

Nimalize kwa kusema kama unajifunza kaza buti acha kulemba.
Apa kidogp nimekuelewa ila ntakulaumu kwa kitu kimoja tu kuanzisha uzi ambao unaupinga mwenyewe nia yangu kutoa wazo hili ni kurahisisha mambo ukiwa na watu sahihi na code nying ulizopata kwa watu ambazo hazina error programming unaweza kuielewa ndan ya miez mitatu tu sasa kimbembe ukose watu sahihi na hauna free code za kutosha au uluzonazo zina error itagharimu miaka na miaka
Km unataka kila mtu akaze buti kivyake vyake na hii thread yko ufute maana apa mrapeana headings tu OOP.JAVA Script.SQL .HTML cjui nn lkn pindi la maana hamna watu wanaongea hisia zao kitu fulan kilinisumbua ooh kitu fulan easy leten apa code tudiscuss km developers na sio tuwa wapiga sound
 
Drone Camera ndo aliyeanzisha uzi sio mimi.

Kurahisisha!?
Mambo yalisha rahisishwa na virahisishi vyenyewe ni kama web, app, game builder na Kuna CMS kibao kingine ni open source projects Kama nilivyosema.

Na dhumuni la mtoa mada ni watu wazungumzie yaliyowasumbua wakati wanajifunza sio kuleta code.

Kuna nyuzi kibao za kujifunza Code zimo humu.
Kuna android by mwaminifuhalisi
Kuna web by frankgalos n.k

Usipokomaa/kusoma tarajia yafuatayo;

Kuwa copy and paste Developer kitu ambacho kinaweza sababisha malalamiko mengi kwa uliowatengenezea project.

Mfano uwezi niambia nimepewa complete project haina errors afu nihangaike kukagua security kwa kuwa hata security concept sina hii ni kwa sababu sipendi kusoma. Kwa maana hiyo nitakapoiuza na itasababisha kudrop out kwa info za org mzee unafikiri nitakuwa nimebuild the best solution na sifa zipi ntapokea.

Kama unataka kuwa real Developer/programmer hauwezi kuendelea kubishana hapa.

Ukiwa na swali lolote au umekwama popote hasa coding andika hapa tutatoa msaada ila usitarajie free code popote zitakuharibu.
 
Back
Top Bottom