Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Make sure umeicover kabla hujaendelea mbele zaidi... BTW umesoma hadi kipengere kipi?
Nimemaliza Intro, Functions, strings, list, dict, tuples, working with files. Now nmeanza kujifunza hizi web scraping libraries(urllib,BeautifulSoup na Scrapy). Safari yangu ndo ipo hapo.
 
Mtaalamu wa programming anicheki kuna kazi ya kitengeneza EA/robot kwaajili ya kutradia forex.
 
Nimemaliza Intro, Functions, strings, list, dict, tuples, working with files. Now nmeanza kujifunza hizi web scraping libraries(urllib,BeautifulSoup na Scrapy). Safari yangu ndo ipo hapo.
Hiyo ishu ya web scraping na Python kuna mdau alileta uzi wake humu,upitie.
Ila sijakuelewa unataka uwe developer na Data Scientist vilevile?
 
Functions ktk c programm mpaka leo bado nahangaika sjui hata nakosea wap
Mkuu kwamba hauelewi function nin au vp? Mana language yoyote lazima ujue function (methods). So kwako sijajua wajifunza/tumia language gani.
 
Kuna kitu kinaitwa Promises. Utaikuta hii concept kwenye Advanced javascript na baadhi ya programming lang zinazosupport parallel computing(Concurrency). Hii kitu asikwambie mtu, Kwangu ndio the hardest nliopitia. Hata pointers za C zina uafadhali. Kizuri projects nyingi za wateja ni simple na hazihusishi sana features zainazodeal na concurency
 
Af kama umegundua coders wengi wana-avoid sana kujifunza data structure na algorithms sijui kwa nini, lakini nadhan ugumu wake ndio sababu. Time & space complexity, trees with roots on the top. Daaah coding is so funny

mchawi pointer 😁 ,,ndio maana wanaikimbia....
 
MY TAKE...

Tatizo coding ya siku hizi ina rules kibao, mara utasikia OOP, mara DevOps na madude mengine, ila kiukweli OOP inapunguza sana efficiency ya program japo inafanya program kuwa Human-readable zaidi na labda kurahisisha debugging kwa kutumia unit testing. Lakini in matters of efficiency Procedural iko vema zaidi ya OOP.

i wish ningekua nacode enzi za kina COBOL na FORTRAN, there were less rules.
Umenikumbusha kipindi nipo O'level,Niliingia library nikakikuta kitabu fulani hivi kikubwa chekundu kucheki mbele nikaona kimeandikwa "Introduction to Electronic Computers" nikakiazima nikapewa.Kwenda class kukipitia ndo nikakuta hayo ma-COBOL sijui FORTRAN... Nilikiazima kipindi cha after break ila nikakirudisha kipindi cha mwisho!!! Madam akaniuliza kulikoni sababu si kawaida yako kurudisha ndani ya muda mfupi kiasi hicho,nikamjibu madam nipe tu lambert nikakomae na Kemia aisee🤣🤣🤣🤣
 
MQL4 😎 😎 😎

Kumbe ina wateja humu bongo.

Ila usijihangaishe sana kutafuta coder wa hii kitu. Katumie tu zile drag and drop au kapost kazi Upwork ili upate mtu mwenye uzoefu zaidi
Asante kwa ushauri lakn huo uzoefu uliouongelea ndo bado sijakuelewa kdg hapo hebu jazia kdg.
 
Hiyo ishu ya web scraping na Python kuna mdau alileta uzi wake humu,upitie.
Ila sijakuelewa unataka uwe developer na Data Scientist vilevile?
At first nilikua interested na data science,kwenye kufatilia ndo nikajua lazima ujue python, safari ya kujifunza python ikaanza. Nilivyoanza kuisoma nikianza kupata interesting things kama hizo web scraping etc ect.

Kwahyo bado najitafuta kujua njia nzuri ni ipi,ila now nmekua sana interested na programming.
 
Soma sasa Python course uimalize...From that point ndo utajua uelekee wapi,kama Data science with python au huko kwingine.Unataka u-jump higher ilhali kwenye programming penyewe bado!! Kama umecover functions, modules, files na basics nyingine vizuri... Anza functional programming usome zile recursion, lambdas,generators etc...From there ingia Object Oriented Programming pambana nayo kisha endelea mbele huko hadi ufike Advanced Python. Kadri unavyoendelea mbele,utaona fursa zaidi.
 
Poa poa mkuu
 
Asante kwa ushauri lakn huo uzoefu uliouongelea ndo bado sijakuelewa kdg hapo hebu jazia kdg.
Mkuu unajua ili kucreate trading bot au Expert advisor inabidi uwe na logic/algorithm yako kwanza kisha ndo utafute mtu wa kucode hio logic(hapa ndo inatumika mql4 au 5 kama programmin lang). Kisha hilo bot inabidi lifanyiwe test za kutosha huku linakua modified endapo weaknesses zitaonekana hadi ifikie hatua lina tolerances nzuri ndipo uanze kulitegemea.

Sasa hio kazi ukimpa mtu asie na uzoefu hautopata kitu unachotegemea. Mie najua kucode kwenye hio metatrader platform lkn ndo hivyo bado natafuta uzoefu kwanza kwenye hii alg trading lakini kama ww tayari una logic na umetrade fx kwa mda na unataka tu ifanyiwe automation hilo halina shida.
 
Back
Top Bottom