A
Anonymous
Guest
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.
Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote kuhusiana na namba hizo. Sasa suala linakuwa gumu kwa loan applicants ambao maombi yao yana deadline.
Huenda mamlaka husika za juu hazijawapa elimu Watendaji wao namna ya kushughulikia jambo hili, au ni uzembe wao tu wa kufuatilia Majukumu yao katika matumizi ya TEHAMA?
Hivyo, ni bora utatuzi ufanyike au bodi ya mikopo itumie mfumo wa zamani ambao hauna kero kwa waomba mkopo.
Bodi ya Mikopo (HESLB)
Majibu ya Bodi ~ Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi wanaoomba Mikopo na kukwama kujaza taarifa za NaPA