Kipengele cha dini na sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipengele cha dini na sensa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Etairo, Aug 10, 2012.

 1. E

  Etairo JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF.

  Mpaka sasa sijapata jibu kulikoni serikali inashindwa kuweka kipengele cha dini ya mtu kwenye fomu za sensa ilihali kuna kipengele cha kuhesabu makanisa na misikiti-utata huu ni kukwepa kitu gani?

  Kwa mtazamo wangu -ikiwa niko sahihi-wakiristu na serikali wanataka kipengele cha dini kisiwepo (kama ilivyo sasa) wakati ambapo waislam wanataka kipengele hicho kiingizwe ili wakati wa sensa ijulikane wazi kuwa nchi hii ina waislam wangapi na wakristo wa ngapi.

  Kwangu mimi naunga mkono suala hili kwa sababu sensa ni kujua idadi ya watu kwa namna ilivyo-wawe walemavu, watoto, wanawake (vipengele vya hawa vipo kwenye fomu). Ikiwa kweli hakuna mkono wa kanisa, na ikiwa kweli kwamba wakristo wanaitakia mema nchi hii na kwamba hakuna udini kama inavyodaiwa, ni vipi wakristo hwaungi mkono hoja ya waislam ya kuingizwa kipengele cha dini ikiwa hawana ajenda ya siri nyuma ya pazia?

  inashangaza kuona serikali inakomaa kuwa kujua dini ya watu si suala la kimaendeleo-inasikitisha saaana. Kwa muda sasa waislam nchini wamekuwa wanadai kuonewa katika sehemu nyingi, na kwa kuwa wakristo walikwisha toa sensa yao na kutangazwa na serikali kupitia TBC1, ni kwa nini sasa serikali haioni busara kuingiza kipengele cha dini ili iwe na takwimu sahihi kutokana na chanzo chake yenyewe? Au ndo kanisa limekwisha amua?

  kwa kutumia sensa ya kanisa ambapo inaonesha wakristo ni karibu mara mbili ya waislam ina maana (kwa wenye akili) kuwa wakristo kushika nyadhifa zote muhimu ni sahihi kwa sababu (1) wamesoma -kama ambavyo wamekuwa anadai tangu ukoloni na (2) ni wengi nchini. Mwenye akili pekee ndo analiona hili.

  Woga wa kuwa watu wakijua idadi yao kwa dini zao inaleta uvunjifu wa amani ni propanga ya kitoto saaaana. Mbona baada ya wakristo kutoa takwimu zao na kubarikiwa na serikali hakuna uvunjifu wa amani uliotokea? Tutende haki, tuache upuuzi na propanganda za kinafiki.

  Ole wao masheikhe wanaotumia undumilakuwili wao kulinda hadhi yao kwa kanisa/serikali kwani adhabu kali itawathibitikia siku ya malipo (kiama). Ahadi ya Allah ni kamilifu-hakika itatekelezwa juu yao. Tuchukue tahadhari mapema kwa kuzingatia maslahi ya wengine hata kama hawapendwi.
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ninavyoelewa sensa ya watu na makazi ni kuhesabu idadi ya watu jinsia zote wanaume,wanawake na watoto sasa kipengele cha udini kinaingiaje hapo.
   
 4. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
   
 5. p

  pointers JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  na nyie si muhesabu sensa yenu muitangaze km walivyofanya wenzenu,km mnataka kujua mko wangapi si mjihesabu wenyewe misikitini halaf mtangaze kuwa waislamu mko wangapi.....mbona kila kitu mnataka serikali ifanye kwa niaba yenu,mnataka iwaambie mko wangapi wakati hakuna aliewakataza kujihesabu,mnataka iwaanzishie mahakama ya kadhi wakati hakuna aliyewakataza kuanzisha nyie wenyewe......mbona mnatushangaza na mnakomaaaa FANYENI WENYEWE ACHENI KULALAMIKA NDO MAANA MNAJITOA MHANGA KWA KUHISI MNAONEWA KILA SIKU NA CHUKI ZA KUPANDIKIZANA.....NAJUA MNATAKA DUNIA NZIMA IONGOZWE KWA SHERIA ZA KIISLAM NA WATU WOTE WAWE WAISLAM
   
 6. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  tatizo lenu baadhi ya waislamu ni uelewa mdogo wa mambo ya msingi, nyie kila kitu mnaonewa, elimu mmekalia madrasa kukaririsha watoto wadogo lugha ya kiarabu utadhani mungu wenu ni muarabu na anajua lugha moja tu... Kiarabu...je mnataka kujua mko wangapi muanze kujilipua mkijua mko wangapi na mtabaki wangapi mtakapo lipua? Kama ni sensa hamna daftari la waumini msikiti? Kiongizi mkuu ni muislamu muelewa ndo maana mambo mengine haoni tija yake wala usiseme kuna mkono wa kanisa hapo1 kama ni mkono wa kanisa tuna makanisa mengi hapa nchini yenye utofauti mkubwa tu ila kwa sababu twaenenda na roho mtakatifu (siyo nyinyi wakujilipua ukisema allah akbar huku ukiangamiza maisha ya watu wasiona hatia) tunaishi bila mtu kumsumbua mwenzie. Badilikini kifikra nyie!
   
 7. p

  protox Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hacha upumbavu wewe hivi NYINYI NA WAKRISTO WA ULAYA NA MAREKANI NANI ANAJUA ANAFAHAMU UKRISTO ZAIDI? UK.HAPA KUNA MAHAKAMA YA KADHI HII NI DOLA LA KIANGLIKANA LAKINI WAMERUHUSU MAHAKAMA YA KADHI VIPI? TANAZANIA? U.K HAPA WA MELUUHUSU O.I.C VIPI TZ? MSHINDWE U.K HAPA WATU WANAESABIWA SENSA NA DODOSO YA DINI HIPO VIPI TZ ? NA NCHI NYINGI ZA ULAYA KAMA SIZOTE TATIZO LA WAKRISTO WA TANZANIA KILA LENYE SURA YA UKRISTO TUNA UNGA MKONO HATA KAMA NI BATILI....MFANO BABU WA LOLIONDO...SO WANACHODAI WAISLAM NI MOJA YA VIPENGELE MUHIMU KATIKA SENSA HASAKIBASHARA ,,,SASA HIVI 57% INAFAMIKA NIWAKRISTO TZ. MBONA HAKUNA VITA? AU VITA ITATOKEA KAMA WAISLAM WAKIJULIKANA NI WENGI@? TUFIKILIE VYEMA POSITIVE.....
   
 8. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Jiandae kuhesabiwa, kama wewe ni muisilamu basi hesabu wanakaya wako waisilamu upeleke idadi yao kwa sheikh wa msikiti wako, au kwa Ponda
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Nia ya serikali si kujua idadi ya watu wa dini fulani...ni kupata idadi ya watanzania wote. Baada ya kujua, nyinyi watu wa dini mfanye mahesabu yenu sasa kutoka katika namba ile mjue mko wangapi.
   
 10. p

  protox Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DADA fanya uchunguzi sio swaara lakufaham wewe,,,hili ni jambo lakitaharam..umoja wa mataifa ulipotoa pendekezo la nnchi wana chama kufanya sensa kila baada ya miaka fulani waliainisha nilazima dodoso la dini liwepo hilikujua ukuaji wa kiimani na kitamaduni.kabla ya.1957 ...dini kilikuwepo, mwisho ni 1967,,kika ondolewa kipengele cha dini na sensa hii haitambuliki na serekali ya tz. hata umoja wa mataifa. kwanini je! unajua kwa nini sensa 1967 ahikubalik?
   
 11. C

  Careboy wamuntere Senior Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakristo wa tanzania ni wajuaji sana, ndo maana wa ubinafsi uliopitiliza, ukiangalia nchi zote zilizotuzunguka kama kenya, uganda wana mahakama ya kadhi na hakuna vita za kidini tena kuna upendo, sasa sijui wanataka kujenga parokia za tanazania. mbali na hapo wanakataa kipengele cha dini wakati wao wanapika data kupitia kwa maagenti zao ktk sekta za umma, kwa mwenye akili atawaona hawa watu kama wachokonozi na sio vinginevyo.
   
 12. p

  protox Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwelewa wako ni mdogo hili si suala la ushabiki....kati ya waislam na wakristo,Tbc1 ni tasisi ya serekali imesema wakristo 57% SIO KANISA....msizani waislam ni wa pumbavu. mnachemka
   
 13. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  vema kaka, wametuchosha kila sika kunungunika.
   
 14. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  matusi yanatoka wapi IMAAM WANGU? JENGA HOJA YAKO TUKUELEWA SIO MATUSI!
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Aisee....comprende!
   
 16. p

  protox Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubalikiwe sana! sio kusudio langu...naomba ladhi kwa hili. mufti wangu.....Pia naomba unisaidie nani ataanzisha vita pindi kipengele cha dini kikirudishwa kwenye sensa?.>>>Uingereza wana mahakama ya kadhi, vipi tz? waislam nijirani zetu tuwapende kama ...lilelinalo wasibu tuwenapamoja.ugomvi hapa ni baina ya waislam na serikali siona na wakristu,.
   
 17. p

  protox Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asnte kwa kuni kubusha hila pia umenielewa>...
   
 18. p

  protox Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua serikali haina dini,,lakini wa tanzania wana dini zao....ushauli wako ni zaifu sana.. hauna mashiko.
   
 19. p

  protox Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sensa nini? unajua sensa wewe? kila mtu hajiesabu mwenyewe? we sio mtu mzuri.
   
 20. K

  Katufu JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 431
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Afadhali umewaambia naamini mwenye akili ataelewa tu, ila hilo la kipengele cha dini wasahau
   
Loading...