Kipaumbele cha Magufuli ni Ilani ya CCM

Kipaumbele cha Magufuli ni Ilani ya CCM

honoget

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,713
Reaction score
374
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?

Chanzo: EATV

Ujuavyo sivyo, kuna nchi ilani inatolewa na mgombea kama Marekani, lakini kwa Tanzania mgombea anayewakilisha chama anaenda kuuza kile ambacho chama kimepanga kifanyike, kumbuka chama ni jumuiya ya watu,wanakaa na kukubalina ni kipi kifanyike kwa wakati fulani, juzi wamepitisha ilani ya CCM 2015-2020, anayeibeba ilani hii ni mgombea urais.

Ni wajibu wake kuhakikisha anawaelewesha wananchi kilichopo kwenye ilani na akishinda akatekeleze yote yaliyopo kwenye ilani, ilani inabeba kila kitu unachokiwaza wewe,kipo mle Iwe utawala bora, iwe mapambano ya rushwa, iwe kilimo, iwe fursa kwa vijana na wanawake, elimu n.k vyote vipo mle...wajibu wake ni kuhakikisha hayo anayatekeleza vizuri na kwa kasi
 
Sasa ndugu hujui kuwa mgombea vipaumbele vyake vinawekwa kwenye kitu kinachoitwa Ilani?ndiyo atakayotuuzia ili tumpigie kura.

mimi nijuavyo mgombea razima uwe na jambo maalum la kufanya.Basi magufuri ni roboti mpaka uswichi
 
mimi nijuavyo mgombea razima uwe na jambo maalum la kufanya.Basi magufuri ni roboti mpaka uswichi

Ujuavyo sivyo, kuna nchi ilani inatolewa na mgombea kama Marekani, lakini kwa Tanzania mgombea anayewakilisha chama anaenda kuuza kile ambacho chama kimepanga kifanyike, kumbuka chama ni jumuiya ya watu,wanakaa na kukubalina ni kipi kifanyike kwa wakati fulani, juzi wamepitisha ilani ya CCM 2015-2020, anayeibeba ilani hii ni mgombea urais.

Ni wajibu wake kuhakikisha anawaelewesha wananchi kilichopo kwenye ilani na akishinda akatekeleze yote yaliyopo kwenye ilani, ilani inabeba kila kitu unachokiwaza wewe,kipo mle Iwe utawala bora, iwe mapambano ya rushwa, iwe kilimo, iwe fursa kwa vijana na wanawake, elimu n.k vyote vipo mle...wajibu wake ni kuhakikisha hayo anayatekeleza vizuri na kwa kasi
 
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?

Chanzo: EATV

Ni tapeli tu Dr.Magufuli. Ndio maana haya majizi ya CCM tunatakiwa kuyaondoa ifikapo October. Mgombea hana hata kauli mbiu
 
Hatakauli mbiu ataikuta kwenye ilani?! Au unatuaminisha tu kuwa ni mtendaji na hajaandaliwa kuwa mtawala!
 
Kwa hiyo mnataka apingane na mawazo ya waliomteua.?

Tatizo la Tanzania sio Ilani ila usimamizi na utekelezaji wa hiyo Ilani.
 
Raisi razima awe na jambo atakalokumbukwa.Magufuri hajui atafanya nini?Hii razima tuiangalie kwa makini tusije tukatawaliwa na Roboti.
 
Wengi hawajui hili, ukiisoma ilani na ukaitekeleza vizuri hakuna tatizo litabaki nchi hii.Sikuzote uwa tuna ilani nzuri mno, utekelezaji wa viwango na kasi ndio unaojitajika na Magufuli sina shaka atafanya hili.
 
Magufuri hana hekima na ufahamu wa siasa.Yeye ni mtumwa wa viongozi
 
Raisi razima awe na jambo atakalokumbukwa.Magufuri hajui atafanya nini?Hii razima tuiangalie kwa makini tusije tukatawaliwa na Roboti.

Ndio maana hujanielewa,jifunze hivi vitu vinavyokwenda ili usije ukashangaa yasiyoshangaza!
 
Ccm inayo ilani pia mgombea razima uwe na vipaumbele pls elewa.Magufuri atwambie yeye anakitu gani zaidi ya wengine.
 
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?

Chanzo: EATV

Hata Mimi nashangaa , sasa kuna umuhimu gani wa kufanya uchaguzi wote ule?? Kama kazi ni rahisi ya kutekeleza ilani tu ,!!! Basi wangechagua tu mtu yoyote akatekeleze ilani.
 
Raisi razima awe na jambo atakalokumbukwa.Magufuri hajui atafanya nini?Hii razima tuiangalie kwa makini tusije tukatawaliwa na Roboti.

Kwani Mkapa wakati anajenga daraja la Mkapa ilikuwa kwenye Ilani au aliinadi wakati wa Kampeni,vipi kuhusu uwanja wa Taifa ?

Watanzania tuache papara, muda wa kumpima mgombea ni muda wa Kampeni na mdahalo hapo ndio ataanza kuropoka .!
 
Wengi hawajui hili, ukiisoma ilani na ukaitekeleza vizuri hakuna tatizo litabaki nchi hii.Sikuzote uwa tuna ilani nzuri mno, utekelezaji wa viwango na kasi ndio unaojitajika na Magufuli sina shaka atafanya hili.

Mkuu nchi hii vyama vina Ilani nzuri sana, tunasheria nzuri sana za nchi .

Tatizo ni usimamizi wa sheria ndio.
 
Raisi razima awe na jambo atakalokumbukwa.Magufuri hajui atafanya nini?Hii razima tuiangalie kwa makini tusije tukatawaliwa na Roboti.

Mkuu kwanza hapo ni lazima sio razima. Pili Ilani ya chama ndio dira ya chama na rais mtekelezaji. Hata Dr slaa anavipaumbele vya chama chake na sio vipaumbele vyake.
 
Kwani Mkapa wakati anajenga daraja la Mkapa ilikuwa kwenye Ilani au aliinadi wakati wa Kampeni,vipi kuhusu uwanja wa Taifa ?

Watanzania tuache papara, muda wa kumpima mgombea ni muda wa Kampeni na mdahalo hapo ndio ataanza kuropoka .!

Lengo ni jambo muhimu kwa kiongozi.Magufuri hajielewi wala hajui afanye nini.Ndio maana alisema atawalinda wazee
 
Mkuu kwanza hapo ni lazima sio razima. Pili Ilani ya chama ndio dira ya chama na rais mtekelezaji. Hata Dr slaa anavipaumbele vya chama chake na sio vipaumbele vyake.

Rudia tena.Na fahamu maana ya kipaumbele.
 
Back
Top Bottom