kipara na tahiliso wapigwa chinii daruso.

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
leo sasa hivi. wabunge wawapiga chini daruso na cabinet yake. pamoja na kujitoa rasmi Tahiliso. baada ya usrc kukaa!
 
kipara- matias aliyekuwa rais wa daruso. amewekwa pembeni baada ya wabunge kupiga kula za kutokuwa na imani nae. hilo limeambatana na kujitoa rasmi kwa daruso kama mwanachama wa tahiliso
 
wanafiki hawafai kuwa viongozi wa karne hii .Wawa fukuze wasaliti waakubwa hao tena walitia aibu sana wakati wa uchaguzi mkuu
 
...baada ya wabunge kupiga kura na sio kula pls! Nway, hongereni kwa hasira dhidi ya ma-puppet
 
yap. ndo huyo. mwanangu wengine 2natumia simu. nirahisi kufanya makosa ya kiandishi. hivyo yy na baraza lake lime2pwa kule. daruso board ndo wamechukua uongozi.
 
saga kamili ni jumatatu. ambapo ofisi ya daruso inabidi kukabidhiwa!
 
Yaani hapo kwa miaka ya karibuni hakujatokea mtu kama mtatiro Julius aliyeko cuf cku hz..Nakumbuka sana enzi hizo serikali haikufanya mambo ya yasiyohitajika then ikanyamaziwa,cku hz mambo yanaenda hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom