Hivi inawezekana magic inaleta mvi? Aisee mvi zimeongezeka exponentially siku za hivi karibuni, na natumia magic kunyoa ndevu..Endelea kutumia magic kunyoa hata nywele za hukoo uvunguni nazo zitaota mvi
Siwezi kupaka rangi nyeusi kichwani kisa kuficha mvi namuogopa nani? Jiamini mzee hivyo ulivyo
Haya madude yamecost sana...ndio yameleta mvi kwa vijana...No sense kabisa...!! MAGIC ni ujinga kabisa.Endelea kutumia magic kunyoa hata nywele za hukoo uvunguni nazo zitaota mvi
Na hakuna mtu wa kuwaambia ukweli.Haya madude yamecost sana...ndio yameleta mvi kwa vijana...No sense kabisa...!! MAGIC ni ujinga kabisa.
Mbadala wa magic nitumie kitu gani ndugu? Kidevu changu kinazidi kutapakaa mvi tuNiliambiwa zamani nikawa mbishi kama shipa, nilipoanza kuona kidevu kinabadili rangi nikaachana nayo. Angalia watu wengi wana mvi za kidevuni wakiwa vijana kabisa. Kuendelea kutumia hiyo kitu lazima ukae🤣🤣🤣🤣🤣
Mbadala wa magic nitumie kitu gani ndugu? Kidevu changu kinazidi kutapakaa mvi tu
Acha ujinga wewe! Paka piko kila wiki ili uendelee kufaidi maisha ya ujana. Mimi mwenyewe na uzee wangu, huwezi kukuta mvi kichwani! Muda wote unakutana na nywele nyeusi kama mkaa.
Huo mvi naukubali kinyama hapa ndevu zangu zimeanza kuwa na mvi naangalia namna ya kuziongeza ziwe nyeupe pee. Kichwani bado bado zinaanza mdogo mdogo
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app