google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Piga para chap ukiwa na pesa weka super blackWakuu habarini za wakati huu.!
Napitia wakati mgumu kidogo kutokana na mwonekano wangu hasa wa nywele ambazo nyingi zimeanza kuwa nyeupe.
Umri wangu kwanza ndo nimegonga 29 miezi miwili nyuma ila kichwa tayari iko kama nimemwagiwa unga.
Salamu zimekuwa nyingi mpaka watu ambao naona kabisa wamenizidi umri hasa wadada na hili ndo linanipa kero kabisa ukizingatia tena bado sijashika pesa za kutosha naona nikifikisha 35 nitaitwa babu kabisa.
Ila kuna mshkaji wangu ana bonge la para linawaka kama glass na ni mkubwa kwangu ila ye wanamwona chalii anagonga mpaka fresh age..
Daah naombeni kama kuna dawa ya kuondoa jumla haya ma super black yanachosha kila siku kufua mashuka.... [emoji58][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Head ni kipara.!
Wakaka wenye vipara Mungu azidi kuwawekaWakuu habarini za wakati huu.!

[emoji23][emoji1666]Piga para ukiwa huna fedha vaa kofia
Acha ujinga wewe! Paka piko kila wiki ili uendelee kufaidi maisha ya ujana. Mimi mwenyewe na uzee wangu, huwezi kukuta mvi kichwani! Muda wote unakutana na nywele nyeusi kama mkaa.
Piko ni nyoko!! 😁😁😁Hamuoni PM Katelephone nywele nyeusi Tiiii.
Endelea kutumia magic kunyoa hata nywele za hukoo uvunguni nazo zitaota mvi
Piga dongo lakini angalia kama kichwa chako kinaruhusu. Sio bichwa kama kiberenge cha treni halafu ukakitoe nywele zote. Badala ya shikamoo unazopata sasa utaishia kukimbiwa.
Kapake breach nyeusiWakuu habarini za wakati huu.!
Napitia wakati mgumu kidogo kutokana na mwonekano wangu hasa wa nywele ambazo nyingi zimeanza kuwa nyeupe.
Umri wangu kwanza ndo nimegonga 29 miezi miwili nyuma ila kichwa tayari iko kama nimemwagiwa unga.
Salamu zimekuwa nyingi mpaka watu ambao naona kabisa wamenizidi umri hasa wadada na hili ndo linanipa kero kabisa ukizingatia tena bado sijashika pesa za kutosha naona nikifikisha 35 nitaitwa babu kabisa.
Ila kuna mshkaji wangu ana bonge la para linawaka kama glass na ni mkubwa kwangu ila ye wanamwona chalii anagonga mpaka fresh age..
Daah naombeni kama kuna dawa ya kuondoa jumla haya ma super black yanachosha kila siku kufua mashuka.... [emoji58][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Head ni kipara.!
Niliambiwa zamani nikawa mbishi kama shipa, nilipoanza kuona kidevu kinabadili rangi nikaachana nayo. Angalia watu wengi wana mvi za kidevuni wakiwa vijana kabisa. Kuendelea kutumia hiyo kitu lazima ukae🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha kumbe magic inaleta mvi???
Niliambiwa zamani nikawa mbishi kama shipa, nilipoanza kuona kidevu kinabadili rangi nikaachana nayo. Angalia watu wengi wana mvi za kidevuni wakiwa vijana kabisa. Kuendelea kutumia hiyo kitu lazima ukae🤣🤣🤣🤣🤣