Kipara na mvi bora kipi?

Kipara na mvi bora kipi?

prumpeti

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
1,023
Reaction score
2,315
Wakuu habarini za wakati huu.!
Napitia wakati mgumu kidogo kutokana na mwonekano wangu hasa wa nywele ambazo nyingi zimeanza kuwa nyeupe.
Umri wangu kwanza ndo nimegonga 29 miezi miwili nyuma ila kichwa tayari iko kama nimemwagiwa unga.
Salamu zimekuwa nyingi mpaka watu ambao naona kabisa wamenizidi umri hasa wadada na hili ndo linanipa kero kabisa ukizingatia tena bado sijashika pesa za kutosha naona nikifikisha 35 nitaitwa babu kabisa.
Ila kuna mshkaji wangu ana bonge la para linawaka kama glass na ni mkubwa kwangu ila ye wanamwona chalii anagonga mpaka fresh age..
Daah naombeni kama kuna dawa ya kuondoa jumla haya ma super black yanachosha kila siku kufua mashuka....

Head ni kipara.!
 
Screenshot_20220807-173326_Quora.jpg
piga tako moja hatarimkuu
 
Huo mvi naukubali kinyama hapa ndevu zangu zimeanza kuwa na mvi naangalia namna ya kuziongeza ziwe nyeupe pee. Kichwani bado bado zinaanza mdogo mdogo

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Haha daah mi ninazo broh wangu anamkaribia lowassa tatizo kwetu ni weusi tii wazia sasa kichwa cheupe ngozi nyeusi piwa
 
Binafsi kipara sipendi, ila na mvi wangu taratibu tunaenda. Huwezi kuikimbia asili.
 
Nyoa kipara always ,kama shughuli zako sio official Sana vaa kofia .
 
Back
Top Bottom