Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Sawa sawaNdungai amelewa madaraka
Sawa sawaNdungai amelewa madaraka
Sawa sawaNdungai amelewa madaraka
Pombe bia ama pombe nomino?Bunge la kuheshimika amekufa nalo 6 na ameshindwa kuvaa viatu vya 6, Pombe inampelekesha Ndungai. Hajitambu anacheza mziki wa Pombe na Pombe ndio inayoongoza Bunge kutoka Magogoni.
Fine. Lakini mm nimetafsiri zaidi ya hapo.daaaa. baada ya kusoma post za wengine ndiyo angalau nimepata mwanga.
kwanza ilichorwa tarehe 14/09/17. inajulikana kulee bongeni kulikuwa na umbeya wa kutosha. kweri RIP 6. BONGE NIULEVI MTUPU KWA SASA
BungeThis bonge what does it mean? Hapo pa sita nimeelewa
anamaanisha lile jengo tukufu pale dodoma limelewa na hii yote ni kwa sababu hakuna tena uongozi mzuri kama aliokuwa nao sitta enzi hizo akiwa spika.This bonge what does it mean? Hapo pa sita nimeelewa
una bullet proof ??Maana yake ni kuwa Sita alipomaliza Muda wake na hatimaye amefariki bunge limekosa mwelekeo sahihi.
Huyo mlevi ni kama Bunge la sasa! Halina mwelekeo kwa kuwa limelewa madaraka. Linaenda ili mradi tuu.
Na hii ni baada ya Maneno ya mhe. Spika J. Ndugai juu ya madaraka yake bungeni.
angalia kwenye picha, rangi ya chupa ya pombe, nadhani utaelewa zaidiPombe bia ama pombe nomino?
Tena nimeivaa sasa hivi.una bullet proof ??

Bonge = BungeThis bonge what does it mean? Hapo pa sita nimeelewa
Wewe nae,kumbe ndiyo maana bado tunatawaliwa na mkoloni wa ndani..!mmhh nimetoka kapa
hapo sawaTena nimeivaa sasa hivi.![]()