Kipanya's IQ

Kipanya's IQ

daaaa. baada ya kusoma post za wengine ndiyo angalau nimepata mwanga.
kwanza ilichorwa tarehe 14/09/17. inajulikana kulee bongeni kulikuwa na umbeya wa kutosha. kweri RIP 6. BONGE NIULEVI MTUPU KWA SASA
 
Maana yake ni kuwa Sita alipomaliza Muda wake na hatimaye amefariki bunge limekosa mwelekeo sahihi.


Huyo mlevi ni kama Bunge la sasa! Halina mwelekeo kwa kuwa limelewa madaraka. Linaenda ili mradi tuu.

Na hii ni baada ya Maneno ya mhe. Spika J. Ndugai juu ya madaraka yake bungeni.
 
Badala ya kuvaa viatu vya 6 ..limelewa madaraka kenge hilooo
 
Yupo bongo bahati mbaya

511f7ee7de395c01b469343c44730e27.jpg
Daah huyu jamaa ni kichwa asee
 
Back
Top Bottom