Kipanya wewe korosho tena?

Nimeamini maneno yako mkuu tumezoea kupelekeshwa
In God we Trust
 
Tatizo Baba J na washauri wake wanatumia sana nguvu kuliko kutumia akili..

Ona walichofanya kwa korosho walienda kuzihifadhi sehemu zenye unyevuunyevu hadi zimeoza...

Sasa zimewadodea wanazirudisha kwa wakulima.

Hakika nawaambieni kilio na machozi ya wakulima hakitomuacha mzima baba J..
 
Zinaotea kwenye magunia huku wenye korosho zao wanataka waandame kuunga mkono hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…