Kipanya: ukitaka kujiua ni kesi ya jamuhuri ukipotea sio yao, bangi ikiwa shambani yako, ila madini?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1491560874802.jpg

 
Tunakoelekea ni kubaya sana. Mambo tuliyokuwa tunayasikia toka Korea Kaskazini, leo tunayashuhudia hapa hapa. Nchi kuongozwa kidikteta ni hatari kuliko kupigana vita na nchi nyingine.
 
Ila serikali wanatuibia sana yaani bangi ikutwe shambani kwangu iwe yakwangu na kifungo juu saa zingine ilidondoshwa na ndege huko, lakini madini aliyeyaweka ni Mungu eti mali yao na kukua misha wanakuamisha kibaya zaidi wanamleta yule yule aliyetuburuza enzi za mababu eti mwekezaji tumeshindwa nini kujisomesha wenyewe na tukawekeza wenyewe kwenye ardhi yetu mimi huwa na najisemea miaka ijayo kizazi kijacho watakuja kufukua makaburi yetu kutufanyia uchunguzi mabibi na mababu zao kama tulikuwa na akili timamu au tulikuwa na utapiamlo wa akili nimeza tu kwa sauti
 
Kipanya inabidi uongeze walinzi nyumbani,wakimaliza wanamuziki wa hip hop watageukia waandishi!!
Alisema Tundu Lisu mkasema ni yake. Nampenda maana alipelekwa mahakamani kasimamia kauri yake. Kwa hiyo kuna precedent inayosema kwamba Rais wetu ni Dikteta Uchurwa. Hata ukisoma Hansard za Bunge zinataja nani Dikteta Uchwara
 
Tunakoelekea ni kubaya sana. Mambo tuliyokuwa tunayasikia toka Korea Kaskazini, leo tunayashuhudia hapa hapa. Nchi kuongozwa kidikteta ni hatari kuliko kupigana vita na nchi nyingine.
Hamkujua CDM waliona mbali sana wakaanzisha operation UKUTA hamkuwaelewa, taratibu tutaelewa tu.
 
Kipanya!!! Da nimecheka sana, kwa kweli inaonekana Unaumiza sana kichwa ili kutufikirisha mambo muhimu yanayohusu nchi yetu, na kutufurahisha pia.
 
Back
Top Bottom