Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,142
- 1,302
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na wewe mkuu....Naunga Mkono Hoja
Masoud Kipanya anajielewa
Ni mwanaharakati asiyejitangaza ila utundu na kipaji vinamtangaza.
Azarel maana yake niniYule ni Azarel wa kabila la Mongbetu, tuliishi naye central Africa zamanii.
Bado nitamweka sana.
Nmejikuta naachia cheko mubashara...Ila anajua kucheza na kichwa cha bwana yule hasa Kwenye korongo la kichwa na devu lile
Hahaaaaaaaaaa korongoIla anajua kucheza na kichwa cha bwana yule hasa Kwenye korongo la kichwa na devu lile
Ni jina lake,maana yake ni mtoto wa kiume mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu.Azarel maana yake nini
Nmejikuta naachia cheko mubashara...
Mpka pogba mwenyew anamuelewa kipanya
Ni jina lake,maana yake ni mtoto wa kiume mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu.
Asili yake ni Israel, na yeye alipata jina hilo baada ya kufunzwa Biblia na kuwa Mkristo ilihal nduguze wamebaki kuwa wapagani.
HahaahahaaIla anajua kucheza na kichwa cha bwana yule hasa Kwenye korongo la kichwa na devu lile