Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
Hapa maana yake hakuna kitu cha nyongeza
Hii itumie aakili nyingi kuielewa
Hapa amewaza nini
Kipanya anamaanisha kuwa Wa-Tanzania wanaongozwa na Viongozi wao kama vile kondoo unavyoweza kumuongoza atakufuata kule unako kwenda tu hakupingi.Hii itumie aakili nyingi kuielewa