Kipanya na msamiati mpya

Huu ni msemo mpya kutoka kwa msanii nguri wa katuni. Eti, KORONDI.

Kwa wataalam wa picha na lugha, tunaomba msaada wenu nini kinamaanishwa hapa na msanii Kipanya.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka haraka huu ni mchanganyiko wa mambo pale unapofanya maamuzi ili upate majib ya haraka haraka kwa kulazimisha kama unavotaka. Unapanda Korosho unategeme kuvuna Maindi. Tunapata (korosho +Indi) Korondi
 
Korosho na mahindi ni mazao yenye bei nzuri kwa wakulima.
 
Picha inamaanisha bei ya mahindi iko juu kuliko korosho....ni mtazamo wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…