Kipanya na Mkutano Mkuu wa CCM

Kipanya na Mkutano Mkuu wa CCM

Bi Mkubwa aliyejeruhiwa akiwa uwanja wa nyumbani. Hahahaha kimeumana

IMG_20210430_092746.jpg
 
Hivi jamani haiwezekani kufanya reshuffle ili Dr wa Zenj aje huku mainland kugumu, halafu Bi Mkubwa na hotuba zake tamuuuuuuuuuuuuu ahamie kuleeee hadi baadaye tunaweza kuona kama tunaweza kutaka kuamua kufanya maamuzi ya kuamua kumwitia nafasi ikipatikana ya kacheo fulani!??? 🙂 🙂 🙂
 
Wacha Wafu Wazike Wafu wenzeo
 
Bado tupo naye yule yule bingwa wa vikatuni.

Leo hii naona kaibuka na yanayoendelea pale kwa kina Matonya lakini sijui kwa vifaa hivi alivyoamua kuingia navyo sijui ana maanisha nini.

View attachment 1768440

Kwa silaha hizi alizobeba mama , sidhani kama yule Naibu Waziri wa usafirishaji na miundombinu atapona!! Ameonesha utovu mkubwa wa nidhamu kwa kuingia bungeni amelewa na mpaka akashindwa kukumbuka Jina la RAIS aliyemteua katika wadhifa huo!!! Huu utovu wa nidhamu Rais Samia asiuvumilie hata kidogo, afuate mfano wa jinsi waziri Kitwanga alivyoondolewa kwa makosa kama hayo!!

Huyu Mwita Waitara hafai hata kutumbuliwa hadharani utampa sifa; Rais amteue mtu mwingine kuchukua nafasi yake basi, yeye atajijua mwenyewe!!
 
Aiseee jamaq akashindwa kutaja jina la rais wa nchi na mteuzi wake.
 
Back
Top Bottom