Kipanya na Mkutano Mkuu wa CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,243
Bado tupo naye yule yule bingwa wa vikatuni.

Leo hii naona kaibuka na yanayoendelea pale kwa kina Matonya lakini sijui kwa vifaa hivi alivyoamua kuingia navyo sijui ana maanisha nini.

 
Mama naye mtata ajaacha kubeba bunduki. Nae anapenda bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…