mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,026
Mkuu,Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na hatima ya viboko hapa nchini.
Je nikweli kuna siku hata wanao wapiga viboko wenzao leo hii kuna siku na wao watatandikwa?
Huyo hapo ni waziri,anajiandaa kutandikwa na wenye nguvu.View attachment 1669231
Kwani hujaona Mkurugenzi kule Sengerema amekwa ndani/lockup?