k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,023
- 1,185
Ni moja kati ya viongozi makini sana na hata hivyo kwa utendaji kazi wake uliotukuka anastahili uwaziri kamili.
Hivi ilikuwaje tunampa uwaziri mtu ambae sio raia?Ni moja kati ya viongozi makini sana na hata hivyo kwa utendaji kazi wake uliotukuka anastahili uwaziri kamili.
Mungu ibariki Tanzania.
Angekuwa sio raia angekuwa amefurushwa kitambo,ukiona bado yupo ujue ni raia halali wa Tanzania.Hivi ilikuwaje tunampa uwaziri mtu ambae sio raia?
Acha uchocheziHivi ilikuwaje tunampa uwaziri mtu ambae sio raia?
Hivi ilikuwaje tunampa uwaziri mtu ambae sio raia?
Yusuf Makamba ndio alisemaKisa nywele na rangi au??🤔🤔🤔🤔
Nae huyu tupo nae humu🤔🤔🤔🤔
Katibu mkuu wa ccm alisema hayaAngekuwa sio raia angekuwa amefurushwa kitambo,ukiona bado yupo ujue ni raia halali wa Tanzania.