Ni Serekali!
Imepoteza uwezo wa Kutatua matatizo ya Nchi yake.
Haiujui ifanye nini na Ma Dr
Haina uwezo wa kuzima migomo inayojirudiarudia ... labda kwa kungoa meno na kucha!!
Tatizo ni sarekali kupoteza uwezo kutatua matatizo ya wanachi wake! Tatizo la ma Dr sio gumu! Tatizo ni sarekali legelege!!
Tatizo si ma dr, waalimu, wahandisi, wakristo, waislam, usama wa tifa, polisi, ukabila etc ... Ni udhaifu wa S...!!