Kipanya leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya leo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, May 31, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  SOSI; MjengwaBlog
   
 2. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  teh teh teh
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  kama kuna kaukweli fulani vile
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno...
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kipanya leo umechemka. Tanzania siyo soviet union au federal state, kwa hiyo disintegration ya namna hiyo haiwezi kutokea. Nenda uje vingine.
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwakweli Kipanya kachemka, sasa kura ya maoni mikoa inajitoaje? wakati unakuta Mzaramo amejenga nyumba Moshi na Mchaga amejenga Mbeya.
   
 7. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndo ukweli hakuna kumung'unya hapo
   
 8. A

  August JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  kwani wapemba hawajengi huku bara na bado wanapiga kelele za kujitenga?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  zanzibar sio nchi ni mkoa ...
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao wanaopiga kelele itakuwa wale wenzangu na mie ambao hawana interest huku bara , hawana nyumba, kibanda, mashua wala biashara.

  Huwezi kumwambia mtu kama Bakhresa habari za kujitenga.
   
 11. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mjadala na uendelee!

  Je ni kweli viongozi wa Chama na Serikali wanaona Muungano ni 'SACRED' na haujadiliki??

  Kuna faida gani zozote zile zinazopatikana kisiasa ndani ya ndoa hii ya Tanganyika na Zanzibar??

  Kwa mujibu wa Prof. Issa Shivji anasema wabunge wengi wa zanzibar walimshambulia zana mzee Jumbe mwaka1984 baada ya kil;e alichoita hali ya hewa kuchafuka nchini, kuna GT yeyote aliyekuwa mtu mzima wakati huo au mwenye kumbukumbu za kibunge anaweza tuwekea hapa ili nasi tujionee historia hiyo??

  Je who is behind 'the Uhamsho' group??

  Kuna conspirancy yeyote katika move ya kuchoma makanisa ama ni dhahiri inafanywa na hawa jamaa wa 'uhamsho'??
   
 12. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Serikali haitumii akili kusema kweli. Mimi hiyo kura ya maoni wangeruhusu ipigwe wazenji wanopigakelele wangeshangaa wanafunikwa na wanaopenda muungano uendelee. Naamini wazenji wenye hofu na kuvunjika kwa hii kitu ni wengi zaidi ya hao mazezeta wanapigia kelele maslahi ya wachache bila kujua.
   
 13. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Duh kipanya naye ana mambo!
   
 14. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hajachemka Kipanya, kinachoongelewa hapa ni Muungano = Tanganyika na Zanzibar. Watakaojitoa ni mikoa yote kila mmoja upande wa hizo pande mbili na sio kujitoa mkoa ukae kivyake. Nadhani wasomaji ndio tunachemka kuelewa kipanya anasema nini. Zanzibar wanataka wabara waende bara na ukristo wao, hawajui kwamba hata bara kuna waislam. Tayari wazanzibari walishawatenga wabara, nenda ukaombe futi 6 x 6 kujenga kibanda chako cha kuuzia nyanya kokote Zanzibar kama utapewa. Ukifanya hivyo ni kama umehaini kule. Lakini kwa bara kumejaa wapemba na waunguja wameoa na kuoleka na kujenga maghorofa hata hawataki tena kwenda visiwani kwao ila kupiga kura tu. Wanayo mashamba usipime huku bara. Mikoa yote maana yake haifurahii muungano ulivyo hivi sasa, maana yake ni kwamba ni Ikulu tu inayoshinikiza kujifanya inaenzi mawazo ya Mwalimu na Karume ingawa nao walishayaponda mawazo hayo tangu akiwa hai mara baada ya kung'atuka

  Kipanya namtetea hapo kwamba anao ujumbe fulani. Tujaribu kutafakari kwa kina kabla ya kumponda na ujumbe wake. Mbeya na Moshi ni Tanzania Bara, labda ungesema Chakechake na Bukoba, maana ni nchi mbili tofauti kwa maoni ya wazanzibari. Watanganyika hawana hasara sana muungano ukivunjika, ukilinganisha na Wazanzibar. Ushabiki mwingi sana visiwani kujitenga umevuka mipaka kwa kumchokoza chatu aliyesinzia kuchoma makanisa ambayo wala hayahubiri kisasi na siasa. Ofcourse huwezi kuishi pasipo siasa, kwani utake usitake tunaathiriwa na siasa, usiposiasa wewe watakusiasa wenzako maana lazima siasa itawale nchi. Nahene lulu, nalilombaga hadololo du muli yaya.
   
 15. Saulloson

  Saulloson Senior Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapo umenena!
   
 16. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kigogo hapo umekosea. Kuna utitiri wa mikoa Visiwani. Kama ingekuwa hapa bara tungesema in equivalence kila kata huku bara ni mkoa kule visiwani. Tuseme ukweli bana, serikali inaboronga tu kung'ang'ania muungano wa aina iliyopo, kwa mwenendo huu amani haiji ng'o! Sipati picha wakristo wakiamua kujibu mapigo kiukweli, Zanzibar patakalika kweli? Wanapogombana wenyewe kwa wenyewe wanadhani wanashinda kwa sababu viwango vyao vya kufikiri vinafanana. Sikilizia Chatu aliyechokozwa usingizini aamke, weacha tu, nawaombea amani ya kudumu wakristo, Mungu wao na aendelee kuwazidishia hekima na uvumilivu. Kama ingekuwa msikiti mmoja tu umepelekewa kiti moto ndani yake, (achilia mbali kuchomwa moto) yaani mi sielewi! Waislamu uvumilivu ni dhambi isiyosamehewa kwao, lakini vurugu ni neema ufanyapo kwa "MAKAFIRI" Afadhali kuwa mpagani kulikoni.
   
 17. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mueleweni vizuri kipanya, mkoa utakaofuatia kujitenga ni Pemba sidhani kama alimaanisha kwa upande wa Bara
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Kachemka Kipanaya au character wake? BTW Tanga itakuwa ya kwanza kujitoa maana iliungana na Nyika (pori) kuunda Tanganyika....nyika imetokana na neno la kijerumani nieker maana yake pori
   
 19. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Mahesabu yako hivi:
  -Zanzibar ni mkoa katika muungano
  -Zanzibar ikijitoa kwa njia ya kura ya maoni,
  -Ni sawa na mikoa mingine kuomba kujitoa kwa njia hiyo hiyo
  -Kwa hiyo, hakuna kura ya maoni kwa Zanzibar
  -Ili Mikoa mingine isiige mtindo huo mbaya
   
 20. Kibada

  Kibada Senior Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena KP...
   
Loading...