Kipanya leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya leo!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, May 4, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila pahali Tanzania kuna mizoga....... Huyu Tokokuru aoni kabisa.....
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,126
  Trophy Points: 280
  ****? KURU? Mmmmh
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Huyu TAKOKURU ni vegetarian...........hajui hata mizoga ina ladha gani
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  takokuru= taasis komavu ya kula rushwa:glasses-nerdy:
   
 6. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndio kusema huyu Takokuru hana ubavu wa kula viumbe hai? hadi asubiri mizoga iliyojifia?. Iko poa meseji sendi.
   
 7. D

  Dina JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Na kweli, hata huo mzoga wenyewe lazima aonyeshwe na kidole, kwani kwa kunusa mwenyewe hawezi tena! Vinusio vilikufa siku nyingiii kama mgonjwa wa 'kambaku' - yale mafua sugu.
   
 8. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Si kwamba aoni, bali anaogopa mizoga iliyonona (ya wakuu) wake, hivyo anatafuta mizoga dhaifu.
   
 9. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante masudi.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  well! well! well!
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ccm...
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,512
  Trophy Points: 280
  Haki utalipa mbavu zangu kwa kuzitengua..
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  kunguru mwoga
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  sijui inatakiwa mtua aandike 'articles' ngapi zinazogusa maisha moja kwa moja pamoja na 'to foretell' ya mbeleni then ndio apewe hata degree ya kwanza tu na chuo chochote katika kutambua mchango wake!?

  Mi naona faculty of arts zote za vyuo hapa Tz zinachelewa kumtambua huyu bwana lakini ni wazi amekuwa akitoa mchango mkubwa sana na kuguga fikira zetu kama jamii inayopitia matatizo makubwa na kupoteza mwelekeo, yeye anajaribu tena sana kuonyesha njia! Hizo PhD zinazotolewa usiku na mchana mchango wao waweza usiwe mkubwa kama wa huyu mkuu KP!
   
 15. K

  KONGOTO Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi walivyo vaa gamaba la chama cha zamani hata km huo mzoga wakiupata na ukawa umeoza sana kiasi cha kulainika sana hawawez kuutafna maana hawana meno..meno yao yote ni ya bandia na lazima wazimishwe toka ccm...hivyo hakuna lolote wala jipya
   
 16. dallazz

  dallazz Senior Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wizara ya maliasili
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mzoga si hao mawaziri 8 waliopanguliwa?
   
 18. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Wanazitoa hizo heshima kwa kuangalia watapata nini inreturn!!Wanajigonga kwa hao wanaopewa pasipo kustahili
   
Loading...