Kipanya leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya leo!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, May 1, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  pamoja na matumizi ya kila aina ya sabuni doa limekataa kutoka
  Kweli hilo doa ni balaa
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  hadi mafuta ya breki yamegoma!!!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mwisho wa siku ni kuitia moto iyo Nguo
   
 5. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwenye RED; hiyo ndo dawa pekee ya kuondoa doa-CCM na ikishindikana basi tunachimba shimo na kuifukia hiyo nguo....... Pole Mtoto wa Mkulima hapo huponi na 2015 bora utangaze kustaafu siasa kwani utakosa heshima yako.....
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani hilo doa linaitaji hiyo rangi nyeupe ibadilishwe kuwa na rangi ya hilo doa
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni bora kuiacha ipigwe na jua tu,atakayekuja yatamkuta!
   
Loading...