Kipanya leo

Kipanya leo

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,528
Mwana kayataka mwana kayapata.
Alafu anajifanya ndio kwanza hasikii anachokonoa sikio
masoudkipanya_20200521_1.jpg
 
Zimwi koronya apo linajisemea "apa nimepatikana ivi kwl ninavyotisha hivi dunia nzima wananihanya lkn huyu Mjomba ndo kwanza hana muda".. apo Koronya lazima awe mpole
 
Pamoja na kutisha na mikwara kibao, linayemtishia yuko imara na haliogopi tena analidharau na ndio mana linamtisha ila yeye yupo tu analiangalia huku anachokonoa sikio bila wasiwasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mbabe unaeogopeka mtaa mzima, ipo siku unaenda kwa jamaa kufanya mbilinge na tafrani za kufa mtu huku ukijua kuwa utakutana na mteremko utakaokurahisishia kuporomosha kipigo cha hatari kama ulivyodanganywa na wanaokuogopa (WHO), matokeo yake unafika hapo na makeke yako na mikwara kibao, halafu unakuta huyo uliyeenda kwa kumdhamiria wala hakujali, tena anakuonesha dharau za wazi kwamba wewe si lolote si chochote kwake, kama huamini jaribu uone.

Sijui umeelewa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom