md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Mimi naamini vyombo vya habari vilimquote vibaya katibu wa bunge kuhusu kuzuia vyombo hivyo vikirusha moja kwa moja. Kwa nini naamini hivyo??? HATUWEZI KUWA NA KATIBU WA BUNGE MJINGA KIASI HICHO!!!