KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

Naona tunaumiza vichwa buree....Kwan Masoud sio member humu atupe ufafanuzi?!
 
Rest in peace

cjui ni tanzania au madawa ya kulevya

kimoja wapo hapo
 
Mkuu mimi hupenda sana kuwasalimu watu "hujambo?" Lakini ni ME


Sikujuwa, nilifikiri u dada,maana sijakuonapo ukisalimia humu. Mbona unashtuka sana kuwa dada ni sifa kubwa sana.
 
 


Ipe neno Picha hii unganisha na matukio yanayoendelea sasa hapa nchini
 
Ilo kama kanisa, nanaona kindege juu ya msalaba....
 
Sijaelewa vizuri.......au nikwamba akimaliza hapo alipo anarukia huko kwingine
 
AF ni kama kinasubiri mizoga HV [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nahisi kama anataka kuhusianisha matukio yanayoendelea na kipindi cha kwaresma kinachoanza. Watu wamrudie mungu wao. Au nimekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…