Kipanya ktk ubora wake..!

Kipanya ktk ubora wake..!

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,340
1445271569464.jpg Me siongezi neno hapo..!
 
Yaani ni vichekesho vitupu. Upige kura harafu matokeo ukasubirie nyumbani sasa sijui watatutumia Meseji?.
 
Very good Masoud....hii inaonyesha kawa wapuuzi wa tume ya usanii (uchaguzi) wanavyohaa CCM kushindwa mwaka huu. Watanzania tumechoka kutawaliwa na CCM. Mungu tusaidie tupate kiongozi bora toka Ukawa aje ashike nchi na kufunga viongozi wa ccm waliopita kwa wizi wao.
 
Jeshi la polisi linawashindwa majambazi mitutu yao na kutuamasisha raiya tutoe ilinzi shirikishi.
Kwanini kwenye kulinda kura tunakatazwa ulinzi shirikishi?
 
Back
Top Bottom