wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,582
- 29,477
Kingo yuko vizuri lakini yeye hua ni wachache sana wanaomuelewa kwani picha zake ni mchoro tuu hakuna maelezo yaani kuzitambua inaumiza kichwa sanaHivi zile za kingo nani mchoraji? nae yupo smart kiutunzi