vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,853 Reaction score 2,272 Jul 16, 2019 #2 Mbona mmoja anaenda nje ya Chettle na mwingine anarudi Chato? kweli hapo safari ipo?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Jul 16, 2019 #3 Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi
Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jul 16, 2019 Thread starter #4 Anaetoka ni Uhuru akiwa anatafakari waliyoongea. Anaingia Museveni.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jul 16, 2019 #5 Uhuru + Mu7
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,240 Reaction score 61,156 Jul 16, 2019 #6 Huko ni kukejeli elimu yetu Yaani hata uweke shule gani ni bure
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,745 Reaction score 6,656 Jul 16, 2019 #7 Root said: Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi Click to expand... KENYATTA na MSEVENI wanapishana kwenda chato alafu kenyata kachanganyikiwa na alichokiona
Root said: Ndo maana Kipanya anasema katuni zake kila mtu ana maana yake Mi sijaielewa kabisa ila naona kutoa na kujumlisha zote hazisomi Click to expand... KENYATTA na MSEVENI wanapishana kwenda chato alafu kenyata kachanganyikiwa na alichokiona