Huyo mzazi ana matatizo na anauwa 'thinking' ya huyo mtoto, alitakiwa kumwambia kabla ya kufa vilikuwaje, na vilikufa vipi, na vikifufuliwa itakuwaje? Hata hivyo nchini bado kuna viwanda je, bidhaa zake zikoje? kwa nini mtu achague kiatu cha Uingereza na kuacha cha Tanzania hata kama hajaambiwa kipi ni cha wapi.
Mfano hapa, kama hizi bidhaa zimetapakaa kwenye mwili wa huyu jamaa hazizalishwi nchini angetembea bila kuvaa - na hali ilijitokeza miaka ya 80s, watu walikosa viatu na nguo ndipo Dr. Salim kumshauri marehemu Nyerere kuingiza mitumba, n.k.
Ukitaka kuielewa vizuri hii katuni ya KP angali RANGI za nguo walizovaa MTOTO na BABA. Pia jaribu kujiuliza ,ni kwanini KP hutumia sana BLACK BACKGROUND katika katuni zake?
Interesting.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.