Dah kweli hii hatari,kama hii picha ndio anaambiwa ametukana waislam basi jamii siku hizi haitaki tena mafundisho kwa kisingizio cha dini, tena ni dini hiyo hiyo ndio inapaswa kumrekebisha mwana nchi na jamii kwa ujumla. Naombeni kila mwenye dini kurudi kujifunza from the basics achilia mbali kwamba wewe dini ulirithishwa na hukuwahi hata siku moja kujifunza kwa hamu wewe kama wewe. Maana naamini katika hizi dini kuna mambo mengi yanafanana kama amani,upendo,kukataa dhambi,mafundisho n.k basi tuanzie hapa kwanza. Ushabiki unatuua na wote tunaweza kujikuta tuna enda motoni kwa sababu ya kumwacha Mwenyezi Mungu na haki yake.