Kipanya anamaanisha nini hapa

Haka kapicha kana-trend saana leo sijui kwanini?
 
Ukimwona kobe ametulia jua anatunga sheria. Therefore you just wait and see soon!!
Kobe akitulia anaweza kuficha kichwa chake tu ndani ya gamba na kukaa chini lakini hawezi kuficha na miguu yake ndani.

Hapo kwa kipanya tunaona gamba tupu la kobe, hali hiyo hutokea baada ya kobe kufa na mwili wake kuoza kabisa. Kobe mwenyewe hayupo.
 
Sasa hapo mkuu si kobe akiinama ujue anatunga sheria huelewi nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…